• HABARI MPYA

  Thursday, March 16, 2023

  REAL MADRID YAICHAPA 1-0 TU LIVERPOOL BERNABÉU


  BAO pekee la Karim Benzema dakika ya 78 akimalizia pasi ya  Vinícius Júnior limeipa Real Madrid ushindi wa 1-0 dhidi ya Liverpool katika mchezo wa marudiano Hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa Jana Uwanja wa Santiago Bernabéu Jijini Madrid.
  Kwa matokeo hayo, Real Madrid inakwenda Robo Fainali kwa ushindi wa jumla wa 6-2 kufuatia kuwachapa Liverpool 5-2 kwenye mechi ya kwanza England.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: REAL MADRID YAICHAPA 1-0 TU LIVERPOOL BERNABÉU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top