• HABARI MPYA

  Thursday, March 16, 2023

  MTENDAJI MKUU SIMBA AKUTANA NA MABOSI WA MAMELODI AFRIKA KUSINI


  MTENDAJI Mkuu wa Simba SC, Imani Kajula akiwa na Mkurugenzi wa Ufundi wa Mamelodi Sundowns, Flemming Berg wiki hii Jijini Johannesburg nchini Afrika Kusini alipofanya ziara kwenye klabu hiyo. 


  Imani Kajula pia alikutana na Mwenyekiti wa Mamelodi Sundowns, Tihopie Motsepe katika ziara yake hiyo na kufanya naye mazungumzo 


  Imani Kajula pia alikutana na Mkuu wa Mashindano, Stanley Mabulu na kufanya naye mazungumzo 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MTENDAJI MKUU SIMBA AKUTANA NA MABOSI WA MAMELODI AFRIKA KUSINI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top