• HABARI MPYA

  Thursday, March 02, 2023

  LIVERPOOL YAICHAPA WOLVES 2-0 ANFIELD


  WENYEJI, Liverpool FC wameibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Wolverhampton Wanderers katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jana Uwanjanwa Anfield Jijini Liverpool.
  Mabao ya Liverpool yamefungwa na beki Mholanzi, Virgil van Dijk dakika ya 73 na mshambuliaji Mmisri, Mohamed Salah dakika ya 77.
  Kwa ushindi huo wanafikisha pointi 39 katika mchezo wa 24 na kusogea nafasi ya sita, wakati Wolves wanabaki na pointi zao 24 za mechi 25 nafasi ya 15.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LIVERPOOL YAICHAPA WOLVES 2-0 ANFIELD Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top