• HABARI MPYA

  Tuesday, March 07, 2023

  KOCHA MPYA WA TAIFA STARS NI MUALGERIA


  SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limemtambulisha Mualgeria, Adel Amrouche kuwa kocha mpya wa timu ya taifa, Taifa Stars
  Adel Amrouche mwenye uraia wa Ubelgiji pia, ana uzoefu na soka ya Afrika, kwani licha ya kuzaliwa, kucheza na kufundisha Algeria pia amekuwa kocha katika mataifa mengine kadhaa barani.
  WASIFU WAKE
  Jina KamiliAdel Amrouche
  Kuzaliwa 7 March 1968 (Miaka 54)
  Alipozaliwa KoubaAlgiers, Algeria
  Nafasi Kiungo 
  TAARIFA ZA KAZI
  Timu ya sasa Tanzania (Kocha)
  Timu za Vijana 
  1983–1985CR Belouizdad
  1985–1988JS Kabylie
  Timu za Wakubwa*
  MwakaTimuMechi (Mabao)
  1988–1990OMR El Annasser
  1990–1991USM Alger
  1991–1992OMR El Annasser
  1992–1993Favoritner AC
  1994–????La Louviére
  Mons
  Timu Alizofundisha
  1995–1996FC Brussels (Technical Director)
  1996–2002R.U. Saint-Gilloise (General Director)
  2002–2004DC Motema Pembe
  2004Equatorial Guinea
  2005FC Volyn Lutsk (Technical Director)
  2005FK Genclerbirliyi
  2005–2006DC Motema Pembe
  2006–2007R.U. Saint-Gilloise (Technical Director)
  2007–2012Burundi
  2013–2014Kenya
  2016USM Alger
  2018Libya
  2018–2019MC Alger
  2019–2022Botswana
  2022Yemen
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KOCHA MPYA WA TAIFA STARS NI MUALGERIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top