• HABARI MPYA

  Saturday, March 04, 2023

  IHEFU YATINGA ROBO FAINALI AZAMS PORTS CUP


  TIMU ya Ihefu imefanikiwa 
  kwenda Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) baada ya ushindi wa 2-0 dhidi ya Pan Africans leo Uwanja wa Highland Estate huko Mbarali mkoani Mbeya.
  Mabao ya Ihefu SC inayofundishwa na makocha John Simkoko na Zuberi Katwila yamefungwa na Andrew Simchimba dakika ya 23 kwa penalti na dakika ya 47 akimalizia kazi nzuri ya mshambuliaji wa Kimataifa wa Burkina Faso, Yacouba Sogne.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: IHEFU YATINGA ROBO FAINALI AZAMS PORTS CUP Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top