• HABARI MPYA

  Thursday, August 04, 2022

  BONDIA WA TANZANIA AINGIA NUSU FAINALI NDONDI MADOLA


  BONDIA Yussuf Changalawe amefanikiwa kuingia Nusu Fainali ya Ndondi kwenye Michezo ya Jumuiya ya Madola baada ya kumshinda  kwa Knockout (KO) Lingelier wa St Lucia usiku wa jana katika pambano la uzito wa Light Heavy Jijini Birmingham nchini England.
  Changalawe atakutana bondia wa Scotland katika nusu fainali, pambano ambalo akishinda atakuwa amejihakikishia Medali ama ya Dhahabu, au Fedha akishindwa ataondoka na Medali ya Shaba.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BONDIA WA TANZANIA AINGIA NUSU FAINALI NDONDI MADOLA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top