WALLACE JOHN KARIA AIDHINISHWA KUWA RAIS WA TFF KWA KIPINDI CHA MIAKA MINGINE MINNE
WAJUMBE wa Mkutano Mkuu wamemthibitisha Wallace John Karia kuwa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kwa kipindi kingine cha miaka minne katika mkutano uliofanyika leo Jijini Tanga.
0 comments:
Post a Comment