• HABARI MPYA

  Saturday, August 07, 2021

  MAREKANI YATWAA MEDALI YA DHAHABU YA KIKAPU OLIMPIKI

  MAREKANI imetwaa Medali ya Dhahabu katika Michezo ya Olimpiki Jijini Tokyo, Japan baada ya kuifunga Ufaransa 87-82, hilo likiwa taji lao la nne mfululizo.
  Pongezi kwa Nahodha, Kevin Durant anayetarajiwa kusaini mkataba mpya wa dola za Kimarekani Milioni 198 kuendelea kucheza Brooklyn Nets kwenye NBA kwa kufunga pointi 29 kwenye ushindi huo.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAREKANI YATWAA MEDALI YA DHAHABU YA KIKAPU OLIMPIKI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top