• HABARI MPYA

  Saturday, August 07, 2021

  SPURS YAMSAJILI BEKI BORA WA SERIE A KWA PAUNI MILIONI 47

  KLABU ya Tottenham imemsajili beki  Muargentina, Cristian Romero kwa ada ya Pauni Milioni  47 kutoka Atalanta, beki huyo bora wa msimu uliopita wa Serie A amekabidhiwa jezi namba nne.  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SPURS YAMSAJILI BEKI BORA WA SERIE A KWA PAUNI MILIONI 47 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top