• HABARI MPYA

  Friday, August 06, 2021

  RASMI JACK GREARISH NI MCHEZAJI WA MAN CITY KWA DAU LA REKODI

  KLABU ya Manchester City imemsajili kiungo mshambuliaji wa kimataifa wa England, Jack Grealish kwa dau la Pauni Milioni 100 kutoka Aston Villa alikodumu kwa miaka 19 akianzia timu ya vijana.
  Nyota huyo mwenye umri wa miaka 25 aliyesaini mkataba wa miaka sita sasa anakuwa mchezaji ghali zaidi wa England Na wa tisa kwa ujumla duniani kuwahi kusajiliwa kwa gharama kubwa kihistoria.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RASMI JACK GREARISH NI MCHEZAJI WA MAN CITY KWA DAU LA REKODI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top