• HABARI MPYA

  Friday, August 06, 2021

  CHIPUKIZI WA AZAM FC MSHINDI WA CECAFA CHALLENGE U23 ATUA UTURUKI KUFANYA MAJARIBIO YA KUCHEZA SOKA YA KULIPWA

  CHIPUKIZI wa timu ya vijana ya Azam FC, Paacal Msindo amewasili salama Jijini Antalya nchini Uturuki kwa ajili ya kufanya majaribio ya kujiunga na timu ya Antalyaspor.
  Mchezaji huyo aliyekuwemo kwenye kikosi cha Tanzania kilichotwaa ubingwa wa Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati kwa vijana chini ya umri wa miaka 23, CECAFA Challenge U23 anatarajiwa kuanza majaribio yake Jumatatu.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: CHIPUKIZI WA AZAM FC MSHINDI WA CECAFA CHALLENGE U23 ATUA UTURUKI KUFANYA MAJARIBIO YA KUCHEZA SOKA YA KULIPWA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top