• HABARI MPYA

  Sunday, August 01, 2021

  MUINGEREZA FRAZER CLARKE AINGIA FAINALI NDONDI OLIMPIKI

  BONDIA Muingereza, Frazer Clarke amejihakikishia Medali ya uzito wa juu ngumi za Ridhaa kwenye michezo ya Olimpiki baada ya kumshinda Mfaransa, Mourad Aliev.
  Aliev aliondolewa kwenye pambano baada ya Mfaransa huyo kuonekana kutumia kichwa kumpiga mpinzani wake kinyume cha taratibu.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MUINGEREZA FRAZER CLARKE AINGIA FAINALI NDONDI OLIMPIKI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top