• HABARI MPYA

  Sunday, August 01, 2021

  NESTHY PETECIO ATINGA FAINALI NDONDI WANAWAKE OLIMPIKI

  MFILIPINO Nesthy Petecio ameingia fainali ya Ngumi za Ridhaa baada ya kumpiga Irma Testa wa Italia kwenye uzito wa Feather wanawake.
  Baada ya ushindi huo kwenye Nusu Fainali, Petecio sasa ana uhakika wa kuipa nchi yake japo Medali ya Fedha, ambayo itakuwa ya pili tu kwa nchi hiyo hadi sasa kwenye Michezo ya Tokyo.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: NESTHY PETECIO ATINGA FAINALI NDONDI WANAWAKE OLIMPIKI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top