Gabriel Jesus akipongezwa na wenzake baada ya kuwafungia wenyeji, Manchester City bao la ushindi dakika ya 68 ikiwalaza Real Madrid ya Hispania 2-1 katika mchezo wa marudiano Hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Etihad. Raheem Sterling alianza kuifungia Man City dakika ya tisa kwa pasi ya Gabriel Jesus, kabla ya Karim Benzema kuisawazishia Real dakika ya 28 na kwa matokeo hayo kikosi cha Pep Guardiola kinakwenda Robo Fainali kwa ushindi wa jumla wa 4-2 kufuatia awali kushinda 2-1 pia kwenye mchezo wa kwanza Madrid na kitakutana na Olympique Lyon ya Ufaransa iliyoitoa Juventus ya Italia PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Ghana goalie Lawrence Ati Zigi handed three game ban in Switzerland
-
Black Stars goalkeeper Lawrence Ati Zigi has been handed a three game ban
after seeing red in St Gallen's game against FC Zurich. The Ghana
goalkeeper kic...
Saa 1 iliyopita
0 maoni:
Chapisha Maoni