• HABARI MPYA

  Jumamosi, Agosti 01, 2020

  ERASTO NYONI AMKABIDHI JEZI MPYA DOGO ALIYEANDIKA JINA LAKE KWENYE FULANA CHAKAVU

  Beki wa Simba SC, Erasto Edward Nyoni akimkabidhi zawadi ya jezi na bukta shabiki wake  kijana mdogo, Jumanne Ulimwengu ambaye wiki kadhaa zilizopita alionyeshwa Azam TV akiwa na fulana iliyoandikwa jina la mchezaji huyo anayemudu kucheza nafasi za kiungo pia.

  Baada ya kumkabidhi jezi, mtoto Jumanne amemuomba Nyoni kumnunulia baiskeli ili aitumie wakati wa kwenda shule na Nyoni ameahidi kumnunulia baiskeli hiyo
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: ERASTO NYONI AMKABIDHI JEZI MPYA DOGO ALIYEANDIKA JINA LAKE KWENYE FULANA CHAKAVU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top