• HABARI MPYA

  Jumapili, Agosti 02, 2020

  ERASTO NYON ATIMIZA AHADI YA KUMPATIA BAISKELI SHABIKI WAKE KIJANA MDOGO MJINI SUMBAWANGA

  BEKI wa klabu ya Simba SC ya Dar es Salaam, Erasto Edward Nyoni baada ya kumkabidhi baiskeli shabiki wake kijana mdogo, Jumanne Ulimwengu mjini Sumbawanga mkoani Rukwa jana. 
  Erasto Nyoni alitoa ahadi hiyo jana wakati akimkabidhi zawadi ya jezi kijana huyo ambaye ili awe anaitumia kwenda shule. 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: ERASTO NYON ATIMIZA AHADI YA KUMPATIA BAISKELI SHABIKI WAKE KIJANA MDOGO MJINI SUMBAWANGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top