• HABARI MPYA

  Jumatano, Januari 08, 2020

  MAYWEATHER NA MANNY PACQUIAO KUZIPIGA TENA MEI 2 MGM GRAND

  Bondia Floyd Mayweather (kushoto) amekubali pambano la marudiano na Manny Pacquiao (kulia) ambalo litafanyka Mei 2, mwaka huu ukumbi wa MGM Grand Jijini Las Vegas, Marekani. Pambano la kwanza baina ya wababe hao, Mayweather alishinda kwa pointi Mei 2 mwaka 2015 hapo hapo MGM Grand 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MAYWEATHER NA MANNY PACQUIAO KUZIPIGA TENA MEI 2 MGM GRAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top