MSHAMBULIAJI MPYA WA YANGA SADNEY URIKHOB MAZOEZINI LEO MOROGORO
Mshambuliaji wa kimataifa wa Namibia, Sadney Urikhob akiwa mazoezini na timu yake, Yanga SC leo viwanja wa Chuo cha Biblia, Bigwa mkoani Morogoro baada ya kujiunga nayo jana kwa maandalizi ya msimu mpya PICHA ZAIDI GONGA HAPA
0 comments:
Post a Comment