Refa akiwaonyesha kadi nyekundu mshambuliaji Lionel Messi wa Argentina na beki Gary Medel wa Chile (jezi nyekundu) dakika ya 37 baada ya wawili hao kugombana usiku wa Jumamosi katika mchezo wa kusaka mshindi wa tatu michuano ya Copa America. Argentina ilishinda 2-1, mabao yake yakifungwa na Sergio Aguero dakika ya 12 na Paulo Dybala dakika ya 22, wakati la Chile lilifungwa na Arturo Vidal kwa penalti dakika ya 59 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Mourinho says he agreed to replace Ferguson at Man Utd
-
David Moyes succeeded Sir Alex Ferguson at Old Trafford in 2013 but things
could have been so different, Jose Mourinho reveals in a new documentary.
3 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment