• HABARI MPYA

  Tuesday, July 30, 2019

  SASA RASMI IDRISSA GUEYE NI MCHEZAJI MPYA WA KLABU YA PSG

  KLABU ya Everton “Toffees”na wamefika makubaliano mabingwa wa Ufaransa, Paris Saint-Germain “PSG” juu ya kiungo huyo raia wa Senegal.
  Akitokea Aston villa na kujiunga na everton, Gueye ameichezea takriban michezo 108.
  Kiungo huyo mwenye miaka 28 amesaini miaka 4 kwenye mkataba wake kukipiga PSG huku kiwango cha uhamisho kikiwa hakijawekwa wazi.

  Hii ikiwa ni mara ya pili akirudi kuchezea ligi ya ufaransa ,Idrissa Gueye  kabla ya hapo kujiunga astonvilla na everton alianzia maisha ya mpira ulaya akiwa na klabu  ya Lille inayoshiriki Ligi Kuu ya Ufaransa.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SASA RASMI IDRISSA GUEYE NI MCHEZAJI MPYA WA KLABU YA PSG Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top