• HABARI MPYA

  Wednesday, July 31, 2019

  BOATENG ASAINI MIAKA MIWILI KUJIUNGA NA FIORENTINA

  Na Mohamed Mshangama, TANGA 
  KLABU ya fiorentina imemsaini mchezaji Kevin-Prince Boateng kutoka Sassuolo kwa ada ya euro million moja kwa mkataba wa miaka miwili.
  Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 32 mzaliwa wa ujerumani mwenye asili ya ghana aliweza hapo nyuma kukipiga Tottenham Hotspur, Borussia Dortmund, Schalke, portsmouth ,Eintracht Frankfurt , AC Milan na Barcelona.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BOATENG ASAINI MIAKA MIWILI KUJIUNGA NA FIORENTINA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top