• HABARI MPYA

  Wednesday, July 31, 2019

  IKIMKOSA MAGUIRE MANCHESTER UNITED INAMLETA UMTITI

  Na Mohamed Mshangama, TANGA
  KLABU ya Manchester United imeonesha nia ya kutaka kumsajili bingwa wa michuano ya kombe la dunia 2018 Samuel Umtiti  kwa ada ya paundi za kiingereza millioni 46.
  Inaripotiwa barca wanaona thamani ya beki huyu wa katikati anathamani ya paundi za uingereza million 55.
  Manchester united wanawania saini ya mchezaji huyo baada ya dili la harry maguire kuwa na ugumu kwa upande wa Leicester kutaka paundi 80 million kwa mchezaji harry maguire.
  Klabu ya Manchester City nayo imeonesha nia ya kumtaka umtiti amabae alijiunga na barcelona akitokea Lyon kwa ada ya uamisho wa paundi million 25 na mpaka sasa kacheza barcelona michezo 97.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: IKIMKOSA MAGUIRE MANCHESTER UNITED INAMLETA UMTITI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top