Manny Pacquiao akimuadhibu Keith Thurman katika pambano la raundi 12 asubuhi ya leo ukumbi wa MGM Grand Garden mjini Las Vegas ambalo alishinda kwa pointi na kutwaa taji la WBA uziro wa Super Welter. Majaji wawili walimpa ushindi wa pointi 115-112 Pacquiao, wakati Glenn Feldman alimpa Thurman ushindi wa pointi 114-113 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Chelsea: Todd Boehly consortium takeover deal gets UK government approval
-
The UK government approves the £4.25bn takeover of Chelsea by a consortium
led by LA Dodgers co-owner Todd Boehly.
Dakika 16 zilizopita
0 maoni:
Chapisha Maoni