• HABARI MPYA

  Tuesday, July 30, 2019

  JUVENTUS YASEMA TIMU NYINGI ZINAMTAKA DYBALA

  Na Mohamed Mshangama, TANGA
  MAKAMU wa raisi wa Juventus, pavel Nedved ameweka wazi kuwa kuna maombi na mapendekezo kwa klabu za manchester united, psg na Intermilan kutaka kufanya usajili wa mchezaji Paul Dybala.
  Kwenye hafla ya kupangwa ratiba ya ligi ya Italia Serie A 2019 - 20, paul nedved aliweka bayana klabu muhitaji mshambuliaji huyo wa juve  na kwa njia zipi zimeweka ofa juu ya paul dybala.
  Klabu ya Manchester United wakitaka bei, huku Tottenham wameweka paundi Million 80 PSG wakiweka  euro million 50 na Intermilan wakitaka kubadilishana na Mshambuliaji Maurio Icard.

  Habari zinasema kuwa Juventus imemueleza tayari Dybala yupo sokoni na wao wanataka ofa itakoeleweka.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: JUVENTUS YASEMA TIMU NYINGI ZINAMTAKA DYBALA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top