• HABARI MPYA

  Jumapili, Julai 14, 2019

  BARCA YAMTAMBULISHA GRIEZMANN ASAINI MIAKA MITANO

  Rais wa Barcelona, Josep Maria Bartomeu (kulia) akimkabidhi jezi ya klabu hiyo mchezaji mpya, mshambuliaji Antoine Griezmann aliyesaini mkataba wa miaka mitano baada ya uhamisho wa Pauni Milioni 108 kutoka Atletico Madrid, zote za Hispania 
     
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: BARCA YAMTAMBULISHA GRIEZMANN ASAINI MIAKA MITANO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top