• HABARI MPYA

  Jumamosi, Julai 13, 2019

  YANGA WAKIPASHA KAMBINI MOROGORO TAYARI KWA MCHEZO DHIDI YA AS VITA AGOSTI 4 TAIFA

  Wachezaji wa Yanga wakiwa mazoezini katika kambi yao ya Morogoro kujiandaa na msimu mpya, ambao wataufungua kwa mchezo wa kirafiki dhidi ya AS Vita ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Agosti 4 Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam katika kilele cha Siku ya Mwananchi  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: YANGA WAKIPASHA KAMBINI MOROGORO TAYARI KWA MCHEZO DHIDI YA AS VITA AGOSTI 4 TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top