• HABARI MPYA

  Friday, July 12, 2019

  SIMBA QUEENS YAKABIDHIWA BENDERA SAFARI YA UJERUMANI

  Timu ya Wanawake (Simba Queens) leo imekabidhiwa bendera ya Taifa kuelekea nchini Ujerumani ambako itafanya ziara ya kisoka ya wiki mbili. Msafara wa timu hiyo unatarajiwa kuondoka hapa nchini Jumatatu Julai 15, 2019 na utarejea nchini Alhamisi Agosti mosi, 2019


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA QUEENS YAKABIDHIWA BENDERA SAFARI YA UJERUMANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top