• HABARI MPYA

  Jumatano, Julai 24, 2019

  REAL MADRID YAICHAPA ARSENAL KWA MATUTA BAADA YA SARE MAREKANI

  Nyota wa Real Madrid, Marcelo na Marco Asensio (kulia) wakishangilia baada ya bao lao la kwanza katika sare ya 2-2 kabla ya ushindi wa penalti 3-2 dhidi ya Arsenal kwenye mchezo wa kirafiki jana Uwanja wa FedEx Field, Landover mjini Maryland.
  Arsenal ilitangulia kwa mabao ya Alexandre Lacazette dakika ya 10 na Pierre-Emerick Aubameyang dakika ya 24, kabla ya Real Madrid kusawazisha kupitia kwa Gareth Bale dakika ya 56 na Marco Asensio dakika ya 59. 
  Gareth Bale alikosa penalti ya kwanza ya Real Madrid kabla ya Isco, Raphael Varane na Vinicius Jr kufunga mfululizo, wakati kwa upande wa Arsenal waliofunga ni Reiss Nelson na Bukayo Saka pekee, wakati Granit Xhaka, Nacho Monreal na Robbie Burton walikosa PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: REAL MADRID YAICHAPA ARSENAL KWA MATUTA BAADA YA SARE MAREKANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top