• HABARI MPYA

  Sunday, July 21, 2019

  NKETIAH APIGA MBILI ARSENAL YAICHAPA FIORENTINA 3-0 MAREKANI

  Kinda Eddie Nketiah (katikati) akishangilia baada ya kuifungia Arsenal mabao mawili dakika za 15 na 65 ikishinda 3-0 dhidi ya Fiorentina katika mchezo wa kirafiki wa kujiandaa na msimu mpya Uwanja wa Bank of America, Charlotte, North Carolina, Marekani. Bao la tatu lilifungwa na chipukizi mwingine, Joe Willock dakika ya 89 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: NKETIAH APIGA MBILI ARSENAL YAICHAPA FIORENTINA 3-0 MAREKANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top