• HABARI MPYA

  Jumanne, Julai 30, 2019

  GARETH BALE ACHOMOLEWA KIKOSINI REAL MADRID

  Na Mohamed Mshangama, TANGA
  MSHAMBULIAJI wa kimataifa kutoka Wales, Gareth Bale, ameondolewa kikosini kinachoenda kwenye mashindano ya Kombe la Audi.
  Taarifa zilizotoka kwenye kikosi cha Real Madrid kinachoelekea ujerumani, mshambuliaji huyo Gareth Bale amewekwa pembeni kuwa hayupo fiti kiakili baada ya uhamisho wake kwenda klabu ya Jiangsu Suning ya China kuzuiwa.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: GARETH BALE ACHOMOLEWA KIKOSINI REAL MADRID Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top