Harry Kane akiruka juu kushangilia baada ya kuifungia mabao mawili Tottenham Hotspur dakika za 54 na 65 katika ushindi wa 5-1 dhidi ya Stoke City leo kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Wembley. Mabao mengine ya Spurs Ryan Shawcross alijifunga dakika ya 21, Son Heung-Min alifunga dakika ya 53 na Christian Eriksen alifunga dakika ya 74. Shawcross alifunga bao la kufutia machozi la Stoke City dakika ya 80 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Accra United CEO aims at Middle League qualification
-
Accra United Sporting Club Chief Executive Stephanie Sedinam Quarshie is
confident that her team has the potential to qualify for the middle league
promoti...
53 minutes ago
0 comments:
Post a Comment