Cristiano Ronaldo akishangilia baada ya kuifungia mabao mawili Real Madrid dakika za 23 akimalizia pasi ya Marco Asensio na 31 kwa penalti katika ushindi wa 5-0 dhidi ya Sevilla kwenye mchezo wa La Liga na kufikisha mabao 18 jumla msimu wa 2017-2018. Mabao mengine ya Real yalifungwa na Nacho Fernandez dakika ya tatu and Toni Kroos dakika ya 38 na kinda wa miaka 19 Achraf Hakimi dakika ya 42 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Commanders' Marcus Mariota Put on IR with Pectoral Injury; Driskel QB2
Behind Daniels
-
The depth of the Washington Commanders quarterback room has taken a hit
prior to Week 1. Tom Pelissero of NFL Network reported that backup
quarterback Marcus…
33 minutes ago
0 comments:
Post a Comment