Mshambuliaji mpya wa Yanga, Emmanuel Martin aliyesajiliwa jana kutoka JKU ya Zanzibar akivaa viatu ili kwenda kuungana na wachezaji wenzake wapy kwa mazoezi jioni ya leo Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam
Emmanuel amesajiliwa siku chache baada ya kuifunga mabao mawili ikilala 2-0 mbele ya JKU Uwanja wa Uhuru Jumamosi
Emmanuel mwenye jezi namba 18 akifanya na mazoezi na wenzake leo Uhuru
Yanga inajiandaa kwa mchezo wa kwanza mzunguko wa pili Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya JKT Ruvu Jumamosi wiki hii
Na leo imefanya mazoezi yake kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam
Human rights: Our everyday essentials (1)
-
INTRODUCTION Human rights are the basic freedoms and protections that
belong to every person by virtue of their humanity. They are not favours to
be gran...
0 comments:
Post a Comment