Mashabiki wakiwa wameketi juu ya ukuta wa Uwanja wa Nangwanda Sijaona, Mtwara kufuatilia mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara kati ya wenyeji, Ndanda FC na Yanga SC jana uliomalizika kwa sare ya 0-0.
Mashabiki hawa ambao bila shaka waliingia kwa kuruka ukuta, hawakujali hatari yoyote juu ya maisha yao
Na inaelezwa hii ni kawaida kwa mashabiki kuruka ukuta na kuketi hivi Uwanja wa Nangwanda, ingawa mamlaka hazijachukua hatua yoyote - labda hadi yatakapotokea maafa.
Biggest Surprises of the 2024 NFL Draft
-
The 2024 NFL draft is in the books. Hundreds of thousands of fans attended.
Millions more watched on television. Approximately all the barbecue ever
was ea...
33 minutes ago
0 comments:
Post a Comment