Mshambuliaji wa Sweden, Marcus Berg akishangilia baada ya kuifungia timu yake bao la kuongoza katika sare ya 1-1 na Uholanzi kufuzu Kombe la Dunia usiku wa jana Uwanja wa Friends Arena mjini Solna. Bao la Uholanzi lilifungwa na Wesley Sneijder PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Australia give improved England plenty to ponder one year out from Ashes
-
England showed plenty of positives during their run to the T20 World Cup
final but the margin of defeat leaves coach Charlotte Edwards with
questions to an...
17 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment