Mwanasoka bora wa Ulaya, Cristiano Ronaldo (kulia) akishangilia na mchezaji mwenzake wa Real Madrid, Gareth Bale baada ya kufunga katika ushindi wa 5-2 dhidi ya Osasuna kwenye mchezo wa La Liga Uwanja wa Bernabeu. Mabao ya Real yalifungwa na Ronaldo dakika ya sita, Danilo dakika ya 41, Ramos dakika ya 45, Pepe dakika ya 56 na Modric dakika ya 62, wakati ya Osasuna yalifungwa na Riera dakika ya 64 na David Garcia dakika ya 78 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
NBA Rumors: Bucks' Damian Lillard a 'Serious Doubt' vs. Pacers with
Achilles Injury
-
Trailing 2-1 in their playoff series against the Indiana Pacers and already
without Giannis Antetokounmpo, the Milwaukee Bucks are also facing the
possibil...
11 minutes ago
0 comments:
Post a Comment