Mwanasoka wa zamani wa kimataifa wa Nigeria, Nwankwo Kanu akijivuta kupiga penalti kukamilisha hat-trick yake katika ushindi wa 4-2 dhidi ya AC Milan kwenye mchezo wa kirafiki baina ya magwiji wa Arsenal dhidi ya magwiji wa AC Milan ya Italia. Bao lingine la The Gunners lilifungwa na Robert Pires, wakati mabao ya Milan yalifungwa na Christian Vieri yote katika mchezo huo wa hisani, ambao sehemu ya mapato yake, Pauni Milioni 1 zitatumika kujenga viwanja vya mchezo huo PICHA ZAIDI GONGA HAPA
George Russell sends warning to Mercedes team-mate Kimi Antonelli after
star's superb start to the season as F1 resumes in Miami after five-week
break caused by war in Middle East
-
JONATHAN McEVOY IN MIAMI: The British driver is nine points behind the
Italian who was victorious in China and Japan before the five-week break in
the cale...
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment