Wachezaji wa Argentina wakiondoka uwanjani kinyonge baada ya mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia dhidi ya Venezuela uliomalizika kwa sare ya 2-2 mjini Merida, Venezuela jana. Mabao ya Venezuela yalifungwa na J. Anor na J. Martinez wakati ya Argentina yalifungwa na L. Pratto na N. Otamendi PICHA ZAIDI GOGA HAPA
Wigan beat St Helens in Magic Weekend classic
-
Wigan Warriors emerge victorious in a chaotic, stormy and thrilling derby
with St Helens as Magic Weekend ends with a bang at the Hill Dickinson
Stadium.
26 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment