Nyota wa Brazil, Willian akiwa na tuzo zake za Mchezaji Bora wa Mwaka wa Chelsea na Mchezaji Bora Chagup la Wachezaji wa Mwaka wa klabu hiyo baada ya kushinda usiku wa jana Uwanja wa Stamford Bridge, London. Mbali na Willian kushinda tuzo hizo, Eden Hazard ameshinda tuzo ya Bao Bora la Mwaka, Ruben Loftus-Cheek ameshinda tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwaka, Fikayo Tomori ameshinda tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwaka wa akademi na Katie Chapman ameshinda tuzo ya Mchezaji Bora wa Kike wa Mwaka PICHA ZAIDI GONGA HAPA
World Cup: Türkiye stuns USMNT with 98th-minute goal
-
The U.S. failed to finish Group D play undefeated after Kaan Ayhan scored
the late game-winner for Türkiye. Next up for USMNT: Bosnia and Herzegovina
in th...
5 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment