WAZIRI NCHEMBA 'AMPA URAIA' WA TANZANIA KOCHA PLUIJM
Waziri wa Kilimo na Uvuvi, Mwigulu Nchemba (kushoto) akimuinua mkono kocha wa Yanga, Mholanzi Hans van der Pluijm (kulia) baada ya kumvalisha skafu ya bendera ya Tanzania kabla ya mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara baina ya timu hiyo na Ndanda FC ya Mtwara jioni hii Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam
Waziri Nchemba akimvalisha skafu ya bendera ya Tanzania kocha Pluijm
Waziri Nchemba akizunfumza na Pluijm baada ya kumvalisha skafu ya bendera ya Tanzania
Waziri Nchemba akimvalisha skafu ya bendera ya Tanzania kocha Pluijm
Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania, Ian Ferrao (katikati) akisalimiana na kocha Pluijm (kulia) pembeni ya Waziri Nchemba (kushoto)
Waziri Nchemba ambaye ni mgeni rasmi katika mchezo huo, alianza kwa kusalimiana na wachezaji wa timu zote mbili
Waziri Nchemba baada ya kusalimiana na wachezaji wa timu zote mbili
0 comments:
Post a Comment