WAPINZANI WA YANGA WALIVYONYOOSHA VIUNGO LEO TAIFA
Wachezaji wa Sagrada Esperanca ya Angola wakifanya mazoezi mepesi jioni ya leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kujiandaa na mchezo wa kwanza wa mchujo wa kuwania kufuzu hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho la Soka Afrika dhidi ya wenyeji, Yanga SC kesho Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam
0 comments:
Post a Comment