UNAANZAJE KUMSAHAU SAIDI SWEDI ‘PANUCCI’ ENZI ZAKE SIMBA SC
Beki aliyekuwa anaweza kucheza nafasi za kiungo pia, Said Swedi ‘Panucci’ wa Simba akipambana na mchezaji wa Kariakoo United ya Lindi, Chacha Kibaga katika mchezo wa Kombe la Hedex Januari 13, mwaka 2002 Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Kariakoo ilishinda 3-1
0 comments:
Post a Comment