Winga Mtanzania wa Deportivo Tenerife ya Ligi Daraja la Kwanza Hispania, maarufu kama Segunda, Farid Mussa akipata cha asubuhi jana mjini Santa Cruz de Tenerife, Tenerife, visiwa vya Canary. Farid amejiunga na klabu hiyo mapema mwezi huu akitokea Azam FC ya Tanzania
0 comments:
Post a Comment