Kikosi cha Azam Veteran kabla ya mchezo wa jana wa Nusu Fainali ya michuano ya JMK Floodlight ambao walitolewa kwa penalti 4-3 na JMK-Romario Sports baada ya sare ya 2-2 ndani ya dakika 90 Uwanja wa JMK, zamani Kidongo Chekundu, Dar es Salaam. Mabao ya Azam Veteran yalifungwa na Amiri Rashid 'Kikwa' na Nahodha Abdulkarim Amin ‘Popat’
Juventus hold exploratory talks for Soule’s return
-
Matias Soulé is among the candidates to leave Roma in the coming days and
be sacrificed on the altar of capital gains. The Argentine winger isn’t
pushing t...
4 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment