Saul 'Canelo' Alvarez wa Mexico akiwa amesimama kushoto kumshuhudia mpinzani wake, Muingereza Amir Khan akiwa amelala 'usingizi mnono' baada ya kumbwaga chini raundi ya sita katika pambano la ubingwa wa dunia WBC uzito wa Middle usiku wa kuamkia leo ukumbi wa T-Mobile Arena mjini Las Vegas, Marekani PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Senator Mustapha flags of distribution of N1.5bn agric inputs to farmers in
Kwara
-
Lawmaker representing Kwara Central Senatorial District, Saliu Mustapha,
has flagged off the distribution of agricultural inputs worth over N1.5
billion ...
10 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment