Nyota wa West Bromwich Albion, Salomon Rondon akifumua shuti huku beki wa Manchester United, Chris Smalling akijaribu kuzuia katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jioni ya leo Uwanja wa The Hawthorns. WBA imeshinda 1-0, bao pekee la Rondon dakika ya 66 katika mchezo ambao United ilimaliza pungufu baada ya Juan Mata kutolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 26 tu PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Ally McCoist is criticised by World Cup viewers for asking why fans were
booing Morocco's rape suspect captain Achraf Hakimi
-
The former Scottish footballer and TV pundit made the remark while
commentating for ITV on Scotland's game against Morocco who beat the Tartan
Army 1-0.
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment