• HABARI MPYA

    Thursday, June 11, 2015

    KIUNGO WA SIERRA LEONE APAGAWISHA MAZOEZINI YANGA SC

    Kiungo kutoka Sierra Leone, Lansana Kamara aliye katika majaribio Yanga SC ameonekana kuvutia wengi katika mazoezi ya awali yanayoendekea Uwanja wa Karume, Dar es Salaam. Makocha wa timu hiyo, Mholanzi Hans van der Pluijm na msaidizi wake, Charles Boniface Mkwasa wanaonekana kuvutiwa na mchezaji huyo wa kimataifa wa Sierra Leone.
    Kamara (katikati) akiwa mazoezini na wenzake Yanga SC

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: KIUNGO WA SIERRA LEONE APAGAWISHA MAZOEZINI YANGA SC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top