![]() |
| Mshambuliaji wa Tanzania, Thomas Ulimwengu akimiliki mpira mbele ya beki wa Benin, Badarou Nana katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Taifa Stars ilishinda 4-1. |
![]() |
| Thomas Ulimwengu wa Taifa Stars akimuacha chini beki wa Benin, Badarou Nana |
![]() |
| Beki wa Taifa Stars, Shomary Kapombe akimtoka beki wa Benin, Tossavi Eric |
![]() |
| Kiungo wa Taifa Stars, Salum Abubakar 'Sure Boy' akimiliki mpira pembeni ya beki wa Benin, Badarou Nana |
![]() |
| Kiungo wa Taifa Stars, Mwinyi Kazimoto akijiandaa kufumua shuti pembeni ya Badarou Nana wa Benin |
![]() |
| Winga wa Taifa Stars, Haroun Chanongo akimtoka beki wa Benin, Mama Seibom |
![]() |
| Mshambuliaji wa Taifa Stars, Mrisho Ngassa akimtoka beki wa Benin, Ogouchi Jean |
![]() |
| Kiungo wa Taifa Stars, Amri Kiemba akimtoka beki wa Benin, Badarou Nana |










.png)
0 comments:
Post a Comment