JOMO SONO AWAPA SIMBA SC MBINU ZA 'KUITEKETEZA' YANGA SC OKTOBA 18
Mmiliki wa klabu maarufu Afrika Kusini, Jomo Cossmos, Jomo Sono kulia akizungumza na viongozi wa Simba SC mjini Johannesburg leo wakati walipomtembelea ofisini kwake. Simba SC imeweka kambi ya kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya mahasimu wao, Yanga SC Oktoba 18, mwaka huu Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam
Jomo Sono alipiga picha ya ukumbusho na kocha wa Simba SC, Patrick Phiri kushoto
0 comments:
Post a Comment