• HABARI MPYA

    Sunday, October 05, 2014

    SIMBA SCA STAND UNITED KATIKA PICHA JANA TAIFA

    Mshambuliaji wa Simba SC, Emmanuel Okwi akiugulia maumivu baada ya kuchezewa rafu na beki wa Stand United katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Timu hizo zilitoka 1-1.
    Beki wa Stand United akimdhibiti mshambuliaji wa Simba SC, Amisi Tambwe
    Mshambuliaji wa Simba SC, Elias Maguri kulia akimtoka beki wa Stand Unted, Iddi Mobby
    Patashika katika eneo la Stand Unted
    Kiungo wa Simba SC, Jonas Mkude akipiga mpira kwa kichwa mbele ya wachezaji wa Stand United
    Beki wa Simba SC, Mohamed Hussein 'Tshabalala' akimtoka beki wa Stand Unoted
    Kiungo wa Simba SC, Shaaban Kisiga 'Malone' akimfunga tela Reyn Magungila 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SIMBA SCA STAND UNITED KATIKA PICHA JANA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top